hapo ni 1*10 pine nitafute mr.
kama site yako ipo karibu na ofisi yangu nitakupa ofa ya usafiri.na kama ni mbali tutachangia usafiri
Mkuu kama una hitaji mbao kwa bei ya jumla nikuletee mbao za mti wa grivelia,niko lushoto.
Kifuniko unataka kuzitumia wapi hizo mbao?
Ina tegemea na mita mkuu.Bei ya jumla unauzaje?
nataka kuzitumia Dar es salaam, osie uuko lushoto sehemu ani, kisambaa tunakiju kama kawaida punguza bei
Bei ya jumla unauzaje?