Kifaranga Senior Member Joined Jan 6, 2011 Posts 144 Reaction score 31 Aug 15, 2015 #1 Hivi jamaaanii kwa mfano ukitaka kujua hizi mbao ni mninga au mkongo unajuaje juaje manake najua wengi wageni hapa, kuogopa kutapeliwa na wauza mbao au mafundi wa milango. Msaada plz kwa anayejua.
Hivi jamaaanii kwa mfano ukitaka kujua hizi mbao ni mninga au mkongo unajuaje juaje manake najua wengi wageni hapa, kuogopa kutapeliwa na wauza mbao au mafundi wa milango. Msaada plz kwa anayejua.
N ngwilla Member Joined Aug 12, 2013 Posts 82 Reaction score 7 Aug 15, 2015 #2 haijalsh ni mninga au mti gan, ubora wa mbao ni rang nykundu tupu bla mchanganyko,usiwe na makov, uwe mzito,hupendza hata kabla ya vanishng.
haijalsh ni mninga au mti gan, ubora wa mbao ni rang nykundu tupu bla mchanganyko,usiwe na makov, uwe mzito,hupendza hata kabla ya vanishng.
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,290 Reaction score 2,822 Aug 15, 2015 #3 Tafufa fundi/mtu anayejua tofauti ya hizi mbao uende naye, vinginevyo utaibiwa tu.
L lotore moja New Member Joined Jul 11, 2015 Posts 4 Reaction score 1 Aug 15, 2015 #4 mninga ni mzito kuliko mkongo!! kwa ulio komaa.
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,557 Aug 16, 2015 #5 Mninga una makovu mengi wakati mkongo hauna. Mkongo una aina nyingi mfano mkongo rozi , mkongo maziwa.
Mninga una makovu mengi wakati mkongo hauna. Mkongo una aina nyingi mfano mkongo rozi , mkongo maziwa.