Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Hakuna mashabiki mbumbumbu duniani kama wa simba mling'oa vitī vya uwanja mzima baada ya kutundikwa golìHakuna mashabiki wajinga duniani kama wa Yanga
1. Ni jambo la aibu vijana waliokuwa wanazunguka uwanjani na mabendera ya yanga baada ya yanga kusawazisha goli kumzingira, na kuanza kumchania nguo kijana aliyekuwa amevaa nguo nyekundu akiuza maji.
2. Ni jambo la aibu washabiki wa Yanga kuwarushia chupa za maji waamuzi ambao walijitahidi kuwa fair
3. Huu ushabiki wa kijinga sijawahi kuona, hata nchi za ulaya timu ikiwanyumbani lazima wananchi wote wanaishabikia timu ya nyumbani lakini leo nimeshanga unakuta limtu ni la mwanza hapa hapa lakini linajifanya lenyewe ndio yanga mbona kule England timu yao ikiwa nyumbani sijawahi kuona huu ugoro wa kushabikia timu ya nje? mbona kule Hispania, italy na ujerumani sijawahi kuona ujinga kama huu?
Yanga haina uzoefu wa kupanda baiskeli za mbao au udongo.Alokwambia mechi ya juzi battle nani? Ile ilikua war. ile mipasho mliokua mkitoa ksbla ya war ndio ilikua battle then after war tukawaua. Hiyo ni baiskeli ya mabua mliyopanda katika viporo vilivyobaki hatubakizi hata harufu
Sent using unknown device
Hahahaa. Mtani Pole.
Pole Swahiba kwa kuteseka.Mbao wamefanya ujinga kipindi Cha 2
Yanga hakuna timu kile Ni kikundi Cha kukusanya michango
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga anakimbizwa hapa Kirumba. Dakika ya 31 bado hamna goli
Beki ya Mbao inatisha
Mbaooooooooooooooooooo goooooooo
Mbao wamemkop Kagere mume wa Yanga
Kula Likes tu angalau Kidonda ulichonacho kipone Mtani wangu.Kwa mujibu wa Zahera,Mbao imepewa 10m na Simba ili wakaze
Mpaka saa hii au ushazitua umemrudishia mwenye mbao zake Mkuu?Tuko na mbao leo
πππSisi 1 - 0 Yanga
Duuh! Pole Kaka ulikata tamaa mapema kumbe tutamkalisha MBAO.Timu yetu bado sana wachezaji wanaotaliwa kuanza pale hawazidi wanne
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππMbao wanafungwa leo, watake wasitake.
ππππ kama nawaona
Hahahaaa. Hawana Jeuri hiyo.Mikia tupeni matokeo plz
Nimekuja Dada. πππAkija uniite
Hahahaaa. Waambie hao na hawataamini macho yao Mkuu.hatimaye mwisho wa msimu omba omba wachukua ubingwa wa baraπππ mtateseka sana mwisho wa msimu nyie simba karatasi
Ewaaaaaaaaa.
Mmmh. Ya Moyoni hii? ππHongera kwa Yanga, ila mbao hawajafanya fair kujilainisha.
Tupo tupo Binamu. πππWana wake warembo kama nyinyi ni haki yenu kushabikia team ya wananchi sio Yale mateam mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Oyeeeeeee.Yanga sio timu ya Wananchi tena bali timu ya Nchi.
Yanga OyeeeeeeeView attachment 1027496
Sent from my iPhone using JamiiForums