habari zenu wadau nauza mbao bei ni nzuri bidhaa ina ridhisha na muda unazingatiwa sana kwangu karibuni napatikana iringa mafinga, kwa mawasiliano zaidi utaliijackson@yahoo.com
ay luwumba2013@gmail.com
Je kaka una mbao aina ya mkongo&kama unayo@ unaweza Kuwa na pics ngapi kwa sasa @ww unaweza kuni PM ila kwa mm mgeni nitajitahidi kurusha text ili twende sawaaaa...