Jamaa mmoja asubuh alipanda DCM akitokea mbagala kwenda Mjin,gari likawa limejaa abiria wengi sana, ikafika muda wa kutoa nauli, akajisearch akakuta anayo elfu kumi, akashangaa,ila akaitoa na alivyorudishiwa chenji akairudisha kwenye mfuko,sasa baada ya kushuka akasema ngoja aangalie chenji yake, akakuta haipo,akashangaa sana, Kumbe ile hela ikikuwa sio ya kwake, aliitoa mfukon mwa mtu mwingine na akairudisha kule kule! Kwa jinsi walivyobanana! Mbagala Nooomaa