Mbadala wa JK

Mpaka sasa mie nashangaa huyu Wassira anafanya nini kwenye baraza la mawaziri!!! Huyu bwana toka amepata uwaziri akili yake yote iko kwenye kuiba tu, trying to make up for lost time. Can some one cite one achievement in any of the ministries he has served? Huyu ni mmoja wa wale waliopata vyeo kwasababu ya patronage ya Jakaya.You are insulting people's intergrity by suggesting his name.
 
Nafikiria zamu ya wajeshi walio na misimamo imefika sasa....tuwajaribu wazalendo wa jeshini labda...wanaweza wakatutoa ujinga huu wa kubebana....labda Brig Ndomba...ila best ya JK
 
Nafikiria zamu ya wajeshi walio na misimamo imefika sasa....tuwajaribu wazalendo wa jeshini labda...wanaweza wakatutoa ujinga huu wa kubebana....labda Brig Ndomba...ila best ya JK
hehehe
hiyo kaka haiwezekani na si kuntu maana unajua wanajeshi wakichukua nchi kunakuwa hakuna accountability. Dawa ni sisi kumtengeneza mwananchi ambaye tukimpa dhamana asituangushe na akituangusha tumchape kwa kura zetu bila kusahau kumswekwa keko na kumfilisi endapo mnuko wake wa rushwa utavutia inzi wengi.
 
Jewish rabbi has this saying, "As the name of person is, so she/he is" Abunuwasi ....that is Abunwasi.
 
achane ulongo, ukitaka kuandika hapa weka habari iliyotafitiwa - no research no right to speak

Hii ni kukatishana tamaa. Mwenzetu ameleta hoja ijadiliwe, hajasema fulani na nani anafaa ama hafai. ni wakati wako wewe kutoa mawazo yako kuunga mkono mjadala.
 
Hii ni kukatishana tamaa. Mwenzetu ameleta hoja ijadiliwe, hajasema fulani na nani anafaa ama hafai. ni wakati wako wewe kutoa mawazo yako kuunga mkono mjadala.
JF inaelimisha sana, natumai mdau uliyempasha ameelimika.
kula THANKS kaka
 
naona leo jua limechomozea magharibi.

unadhani wabongo watampigia kura mmasai huyu tena??? why not Samweli Sitta?? maana ameonesha mwelekeo wa msimamo thabiti dhidi ya tabia legevu ya serikali ktk maamuzi mazito.

Tusipime homa kwa viganja jamani. Siku hizi jua kali hivyo joto la mwili nalo linazidi. Vivyo hivyo, Six naye hana namna zaidi ya kuwa upande wa mapambano, na hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kuomba ridhaa ya wananchi tena. unadhani angezima hoja za ufisadi bungeni angeweza kukaa mpaka sasa?
 
Tujaribu kuwa siriaz kidogo tunapojadili masuala haya. nadhani kiongozi unaleta masikhara kwenye utani sasa.
 
sasa wewe utaona kama kuna mtu mwingine anaweza kuchukua nchi hii kama Jk hajamaliza muda wake, labda useme 2015 na sio sasa
 
sasa wewe utaona kama kuna mtu mwingine anaweza kuchukua nchi hii kama Jk hajamaliza muda wake, labda useme 2015 na sio sasa
Ktk tanzania ya leo anything can happen tena very kwikli
 
Orodhesha mafisadisho yake hapa tumchambue mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…