Mbabe wa mange kapatikana Mr konk konk konk master

Mange nae awe anasema na ya familia yake asiwe anawasema wenzie tu wakati kwake nae kuna watu walichea mbolea
 
Huyo mange ni boya sana simuelewi teena kaloose track ameufyata,ni li ccm lile lilikuwa linachota watu akili tuu
 
Mh mkuu ingia kwa mange amefukua makaburi huko .kifupi dudubaya hawezi kupinga ushoga wake kwa ushaidi uliopo, video ya mke wake analalamika kumlazimisha kumpa Tigo (ya 2014) so si yakumzushia ni video ya miaka minne iliyopita, pia kapita na bilal shoga maarufu dar nzima na yupo kwenye account ya bilal wanakula good time bar na shoga pombe mezani what next wakishalewa ???
Halafu anajitetea eti eti alkuwa anamshawishi aache ushoga
 
Kama ushonga unaathiri Uchumi na kukwamisha juhudi za Mh: Rais Dr John Joseph Pombe Magufuli watokomezwe, kama hawana athari kwa uchumi wa Taifa waachane nao...


Nyerere alisha wahi kusema Taifa kama Taifa yale mambo ya kijinga tuachane nayo, yale yenye umuhimu na tija tuyafanye....
 
Ni kweli hii issue ni ngumu sana hata MUNGU alikosa namna akaona bora aichome moto kabisa dunia(ya wakati huo) maana aliona hata akituma mhubiri mahiri hataweza, RC angelijua hili angeanzia kwa Mwingira moja kwa moja na angeenda mbali zaidi kwa makanisa na misikiti kuliombea hili badala ya kuanza na amri zake za kitawala. Trump hapendi kabisa hii issue lakini hawezi kubadili sheria na hajaweza kufanya hata anachokifanya RC, alijaribu jeshini lakini Makamanda wake wakamwambia afuate sheria/utaratibu. TUUNGANE TU TUOMBE MUNGU huwezi kumaliza issue hii kwa amri za kipolisi
 
Endeleeni kuangalia game nzima Instagram mtaamini maneno yangu tumemzoea mange kuwashinda watu kwa point lakini round hii oil chafu anajibu mapigo tena kwa point mpaka raha
 
Kwa mange karudi clouds.?mange mjanja hataki kumsapoti makonda.
Ndo maana anagombana na dudu baya.
 
Back
Top Bottom