mkuu nahisi hatutoelewana but nmekubali na nmetubu na kunyanyua mikono juu kuwa nimewatoa watu kwenye mada ila mkuu kwa watumiaji wa internet naweza na mm nikawemo japo kwa ⅛ tu.Internet is not a fad dude! Ni lazima utumie internet ipasavyo as long as una uwezo wa kununua bando la Internet kila linapoisha!
Ili kuthibitisha kwamba internet inapaswa kutumiwa to the maximum na kulingana na gharama zake kuwa kubwa watu wanafunga fibers kwenye majumba yao.
Sasa mfano wewe una laptop, iPad na Smartphone alafu matumizi yako ya data kwa mwezi ni 1 GB seriously?
My brother hau stream chochote mtandaoni? Hauandiki barua zako za kawaida na pepe haraka mtandaoni?
Hauchezi hata ka kamari? Jamani hata huchezi online games?
Aaaah utakuwa unaniangusha sana
budher sitokuangusha sema kwa kweli hizo gb huwa simalizi maana kwa mwezi mzima huwa nkijitahid natumia gb 5 pekee.Aaaah utakuwa unaniangusha sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Voda wapuuzi sana mm line yenyew nimeweka kwenda brenda nimesaga na juice nimekunywa
Matajiri tu ndo tumebaki vodacom na airtel
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu punguza hasiraVoda wapuuzi sana mm line yenyew nimeweka kwenda brenda nimesaga na juice nimekunywa
Umetisha mama. Nilijua mimi niliye isaga line ya voda nikasokota fegi nikavuta nimetisha kumbe wewe umetisha zaidi.Voda wapuuzi sana mm line yenyew nimeweka kwenda brenda nimesaga na juice nimekunywa
Mimi TTCL yangu inaandika 2G halafu haiwezi kudownload chochote, vipi ya kwako iko poa?