ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Jun 28, 2015 #21 Mr Podson said: Fanya hiv mb 10 Mara 7 sawa na mb 70 Click to expand... sasa hizo MB70 ulizonunua kwa gharama ya wiki ukizitumia ndani ya siku moja basi hujaokoa chochote. na kama ukigawanya MB70-:-siku7=MB10 hapo ni sawa una MB10 kila siku. Bora kununua kifurushi cha data peke yake
Mr Podson said: Fanya hiv mb 10 Mara 7 sawa na mb 70 Click to expand... sasa hizo MB70 ulizonunua kwa gharama ya wiki ukizitumia ndani ya siku moja basi hujaokoa chochote. na kama ukigawanya MB70-:-siku7=MB10 hapo ni sawa una MB10 kila siku. Bora kununua kifurushi cha data peke yake
Technian Tanga JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 411 Reaction score 200 Jun 28, 2015 #22 Fareal said: Mb 70 kwa matumiz ya kawaida 2 hazimalizi hata siku 1.,, Click to expand... Mkuu una smartphone kweli? au ndo mambo ya Oking na itel pia
Fareal said: Mb 70 kwa matumiz ya kawaida 2 hazimalizi hata siku 1.,, Click to expand... Mkuu una smartphone kweli? au ndo mambo ya Oking na itel pia
pharaoh_2 Senior Member Joined Jun 25, 2015 Posts 143 Reaction score 123 Jun 28, 2015 #23 utakuja said: Nashukuru sana nipo maeneo ya chuo yani hizo Mb8 hata sizijui na Tigo ukijisajili kama mwanafunzi wa chuo unaweza kujiunga uni promotion eneo lolote.. Click to expand... mkuu unajisajili vipi kama mwanafunzi?
utakuja said: Nashukuru sana nipo maeneo ya chuo yani hizo Mb8 hata sizijui na Tigo ukijisajili kama mwanafunzi wa chuo unaweza kujiunga uni promotion eneo lolote.. Click to expand... mkuu unajisajili vipi kama mwanafunzi?
Technian Tanga JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 411 Reaction score 200 Jun 28, 2015 #24 pharaoh_2 said: mkuu unajisajili vipi kama mwanafunzi? Click to expand... Hakuna kujisajili mkuu ni kuwa karibu na eneo lolote la chuo ambacho kimepewa acces hiyo then dial *148*01*20#
pharaoh_2 said: mkuu unajisajili vipi kama mwanafunzi? Click to expand... Hakuna kujisajili mkuu ni kuwa karibu na eneo lolote la chuo ambacho kimepewa acces hiyo then dial *148*01*20#
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,380 Reaction score 99,184 Jun 28, 2015 #25 QFL magodoro dodoma is the best.
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,067 Reaction score 1,037 Jun 30, 2015 #26 pharaoh_2 said: mkuu unajisajili vipi kama mwanafunzi? Click to expand... Kama walivyo toa instruction kwenye message ya mwisho Attachments 1435681280092.jpg 50.6 KB · Views: 84
pharaoh_2 said: mkuu unajisajili vipi kama mwanafunzi? Click to expand... Kama walivyo toa instruction kwenye message ya mwisho