Mb 8

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2015
Posts
4,507
Reaction score
5,742
Hizi MB 8 wanazotoa hii mitandao yetu hata hatufaidi,nimeweka laini kwenye smartphone kitendo cha kusearch kitu tu ikaingia msg eti nimebakiwa na mb 2
 
Nunua nyingine hizo 8 zikiisha.mie nawakomesha Kwa style hiyo zikiisha nanunua zikiisha many
 
Hizi MB 8 wanazotoa hii mitandao yetu hata hatufaidi,nimeweka laini kwenye smartphone kitendo cha kusearch kitu tu ikaingia msg eti nimebakiwa na mb 2

Kuna vifurushi vya data amia uko viache vya kupiga simu viwe vya kupiga simu
usibaki stagnant
 
Mb 70 kwa matumiz ya kawaida 2 hazimalizi hata siku 1.,,

omg,na un ni mpango mzima upande wa airtel

Namna ipo,nayo ni kununu vifurushi vya MB tu,kuna kile cha buku unapata MB 700 kwa masaa24
Kuna vifurushi vya 1500 vya airtel...wanaviita university promotion, 1GB, dakika 120 kama sikosei, na SMS za kumwaga!!! nadhani vocha zake zinapatikana maeneo ya vyuoni!!! hiki kifurushi kiko safi sana internet!!
 
Asante university offer 500MB ,150min na,SMS bla kikomo. 1500/=@week
 
Nashukuru sana nipo maeneo ya chuo yani hizo Mb8 hata sizijui na Tigo ukijisajili kama mwanafunzi wa chuo unaweza kujiunga uni promotion eneo lolote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…