Mazungumzo ya amani ya Burundi, yavurugika Arusha

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,202
10,438
Ni kwa sababu Burundi imekataa kuketi meza moja na wale iliyowaita 'wafanya vurugu' mazungumzo hayo ilikuwa yafanyike Leo January 06 Arusha,Tanzania BBC.
 
Pamoja na hizo sababu zingine, kubwa ni moja tu, Kuna mmoja ameamua kung'ang'ania madaraka.
 
Back
Top Bottom