kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Tumeona wacheza mieleka wakifa ghafla kwa heart attack, wacheza mpira mf. Mark Vivian foe na yule aliyefia Kagera, baadhi ya wanamuziki mf. Papa Wemba, licha ya maisha ya mazoezi.
Bado tunaona wako watu kama akina Mugabe wanapeta na uzee hadi karibia karne na bado wana nguvu.
Haya mazoezi yana uhusiano gani na moyo kusimamama ghafla?
Bado tunaona wako watu kama akina Mugabe wanapeta na uzee hadi karibia karne na bado wana nguvu.
Haya mazoezi yana uhusiano gani na moyo kusimamama ghafla?