Mazoezi yanasaidia sana kwenye ngono

Mazoezi yanasaidia sana kwenye ngono

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,416
Watu wengi hua hatutaki kuukubali ukweli ila mwenzenu nina ushuhuda.

Mazoezi yanasaidia sana kwenye tendo la ndoa, nlkua nafanya penzi mzunguko mmoja nachoka vibaya mno.

Nkitaka kurudia bao la 2 uume unasinyaa na nashndwa ata baada ya nusu saa kupita, kuna siku mpenzi wangu alinitamkia wewe unajijua bao la 2 huwezi usijisumbua na kweli ilkua hivo.

Nilivoanza gym, nina kama mwezi ila napiga heavy, kuna siku juzi nmepiga mizunguko minne.

Na jana nmempga mzunguko mmoja nkaunganisha na wa pili kupmzika alvoridhka ikabidi anisukume hataki kuendelea ila mda huo bwana mkubwa alkua kasimama kwa ajili ya kuendelea na mzunguko wa 3.

msibeze mazoezi yanasaidia, sasa mi sielewi shida ilkua mazoezi au nilkua sili ila ukweli ndo huu,
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...
 
mazoezi+ lishe bora+stress free ndio viagra #1 hakunaga dawa ya nguvu ya kiume.
 
Watu wengi hua hatutaki kuukubali ukweli ila mwenzenu nina ushuhuda.

Mazoezi yanasaidia sana kwenye tendo la ndoa, nlkua nafanya penzi mzunguko mmoja nachoka vibaya mno.

Nkitaka kurudia bao la 2 uume unasinyaa na nashndwa ata baada ya nusu saa kupita, kuna siku mpenzi wangu alinitamkia wewe unajijua bao la 2 huwezi usijisumbua na kweli ilkua hivo.

Nilivoanza gym, nina kama mwezi ila napiga heavy, kuna siku juzi nmepiga mizunguko minne.

Na jana nmempga mzunguko mmoja nkaunganisha na wa pili kupmzika alvoridhka ikabidi anisukume hataki kuendelea ila mda huo bwana mkubwa alkua kasimama kwa ajili ya kuendelea na mzunguko wa 3.

msibeze mazoezi yanasaidia, sasa mi sielewi shida ilkua mazoezi au nilkua sili ila ukweli ndo huu,
Naunga mkono andiko.
 
Duh

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom