WanaJF,
Kutokana na mahangaiko ya kila siku, si kila mara mwanaume utataka uende safari 2 na mkeo. Changamoto yangu ni kuwa ni kama mara 3 tu katika maisha yangu ya ndoa (miaka 10+ sasa) nimefanikiwa kumkojolesha mke wangu katika mzunguko wangu wa kwanza. Ili yeye akojoe ni lazima niende awamu ya pili ambayo nna uwezo wa kukaa hata dk 40. Mara nyingi hataki awamu hii sababu ile kitu natafuna mpaka nakuwa kama pornstar.
Baada ya kusoma na kuhangaika na mazoezi na mambo ya vitu vya kula, breathing habits, nimegundua kergel imenisaidia kidogo kurefusha muda kuweza kufika angalau dk 3-5 na hapo nakuwa na-withdraw ndio nimechelewa hivi.
Kama kuna mtu amemaliza tatizo kama langu anijuze amemalizaje kwa mazoezi ya kergel labda kuna mbinu sijaijua sawasawa.
Angalizo: Nimeshatumia spray ya mbo hii inanisaidia lakini tatizo ina side effect. Nimeshatumia madawa mengine jamii ya viagra lakini 100% asili-hazisaidii, ni kwa ajili wanaoshindwa kudinda. Nikipata valuu chupa ndogo, hii inanisaidia vizuri sana tatizo huwezi kuwa kila ukitaka pusi eti unywe kwanza nyumbani!
Nawasilishad