nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,727
- 14,141
Bosi mara nyingi akiwa kimya ofisini kwake
akibanwa na ushuzi anauachia kwa nguvu zote
Kijambio kikazoea
Siku moja yuko ktkt mkutano
baada ya lunch mchana
akapitiwa na ka usingizi,sasa kutokana na mazoea yake ya kujambajamba
usguzi ukamjia,nadhani alikuwa anaota yuko ofisini
akajikamua kwa nguvu,pyuuuuuu
watu eeeeeeeeee
akashtuka toka usingizini
dahhhhh,kulikuwa na wapemba wakampongeza sana
wakimhabarisha
baada ya mkutano chochote anachohitaji
atalipiwa.:becky: