Maziwa yanayofaa nahitaji...

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Nimepewa ushauri na mtaalam wangu wa mwili... kila napomaliza mlo pia nkimaliza mazoezi ya mwili nifanyayo nipate lita 1 ya maziwa.
Sasa nlinunua aina fulani ya maziwa ..balaa lake sitosahau..nlipoangalia muda wa matumizi ilikua bado kabisa kama miezi 7 ndio yakwishe muda wake.
Bahati mbaya siishi mikoa inayofugwa ng'ombe wengi...haya maziwa huletwa hapa nlipo kwa kua ni soko zuri.
Naomba wale wataalam wa Nutritions mnisaidie..maziwa gani yatanifaa ili niendelee kufuata ushauri nliopewa!
Wabhejha!
 
Back
Top Bottom