Maziwa na unga wa karafuu ni tiba ya maradhi mengi

Asante sana
 
...Umesema Unga wa Karafuu. Je nikiamua. Kutafuna Ile Karafuu. yenyewe Badala ya Unga wa Karafuu ?
 
Nje ya mada nilikwenda kwa daktari alinambia nina protein kwenye mkojo. Inawezekana kuna tatizo kwenye figo alitaka nifanye vipimo zaidi ila nilimwabia nitarudi wiki ijayo. Hili tatizo huletwa na nini na nini riba yake?

mkuu nipo nakufatila kwa karibu, tunaomba mrejesho kwa kila hatua utakayopitia mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…