Mazito ndani ya ulinzi shirikishi.

Asuu

Member
Sep 8, 2011
39
2
Nduguzangu wana sheria, naomba kufaham kwakina,juuya ulinzi shirikishi. Nilazima kwa kila mtz. Au nilazima kwakila mkoa. Au nilazima kwakila ,wilaya,kata,kijiji,au kitongoji?.huku kwetu ughaibuni upo. Na taratibuzake zipo hivi. kilamtu anapaswa kutoka nje usikuna kwenda kufanya doria kwa ajiliya ulinzi.na endapo utashindwa kufanya hivyo,unapaswa kutoa.Tsh.1000/= kila mwezi. Sisi nyumba tunayoishi. Tupo wapangaji,saba (7) na mtaa nimkubwa sana. Naongelea hapa dar.Tandika, mmoja katiya wapangaji, nimsela, kwamaana haishi na familia,mudawakewa kutoka au kurudi nyumbani haueleweki. Ila j.pili hua yuponyumbani. Huyu bwana ali lazamiezi, 3,bilaya kulipia Adaya ulinzi shirikishi.kilicho mtokea, ni Alifuatwa kwamaraya kwanza ilikuani saa 6 zausiku,ili apelekwe kituochapolice kujieleza,ila mwenye nyumba alikataa kumuamsha. Keshoyake ulinzi shirikishi walikuja makamanda wao,pamoja na afisa wapolice kuja kumkamata ,ilikuani sakumi zausiku. Yule msela alijitetea huku akisema. Nanukuu: mbona mmenijia usiku? Kama ni taarifazenunimesha zipata na nimeziwakilisha kwamjumbe. Na kama mnahitajimazungumzo namimi muiten mjumbe aje,mwishowa kunukuu. Kilichofuata. Walikwenda kumchukua mjumbe asiewa kitongojichake, nakuja kum beba yule msela na kumlaza lock up. Kisha kutozwa sh.7000/= na police kisha kuachiwa, huru siku ilio fuata.je?wanasheria. huu ndio ulinzi shirikishi huku kwetu ughaibuni. Naomba,kufaham jamani, uwiyano wa jambo hili na Adhabuzake.
 
Ni sahihi kabisa. Tena alitakiwa pia achapwe viboko 7 kwa kutoshirikiana na wenzake
 
Ah mi silindi ,nitalinda nini wakati nina sefuria 2,telemuka tukaze na stuli moja,watalinda hao wenye ma subwoofer na vista tuh tuh
 
Back
Top Bottom