Mazishi ya Kawawa

Kichankuli

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2008
Posts
887
Reaction score
191
sijui waliochimba kaburi walikuwa kina nani labda kwa sababu sikuangalia tangu mwanzo, lakini niliwaona JKT wakifukia kaburi halafu JWTZ wakatwanga Mizinga, Vipi Polisi mbona hawakushiriki zaidi ya kuwa na raia tu/ Je wao siyo wakakamavu kiasi cha kufanya mojawapo ya tukio la mazishi?
 
Mzee Kawawa alijulikana kama SIMBA wa VITA - Polisi ni nadra sana kwenda VITANI!
 
Mkuu KIchankuli, unajua taratibu za mazishi kijeshi?
 


Hahahaha Polizei?!>>>>>wale si walinda doria jamani waende wakafanye nin wapige mizinga na wao au?..word!
 
we hasa hasa TATIZO LAKO NINI?
au niseme ni wapi UMEKWAZIKA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…