Mazingira ya serikali ya CCM na ujinga wao ndio wanafanya USD kutopatikana

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,739
Hii nchi kuna muda unabaki kujiuliza kama bunge na spika wake mcharuko naye akielezwa anacheka bungeni utazani anachekeshwa na mpoki Dodoma.

Bungeni mmejaza wa wajinga na wanaofikiria kuingia bungeni tena,wataalamu mshawapiga Pini maana ukweli kweni ni kebei.

Mkitaka USD kuwepo Yale yote mnayotaka kufanya sababu Kila siku mfanikiwe kubali kwenye nchi hii ndiyo Yana waponza.

Mfano tu mzuri .serikali itaki ufanye soko la nje kisa kuogopa.

Uraia pacha sababu ya watu kuamka.

Mifumo ya pesa kama crypto.

Ufisadi na ubwanyenye wa watawala wanavo tunza USD kikinuka waondoke nchini.

Ujinga wa rasilimali kushindwa kuleta pesa za kigeni .
 
Of course big boys wa ccm hawakosi ma dolari kwenye secret vaults zao
 
20230613_230548.jpg
 
Hilo ndio bunge lililotengenezwa na mwendazake!!alijioanga ili bunge Hilo dhaifu limiongezee muda awe Rais wa milele Tanganyika !! Mungu akakataaa
 
Back
Top Bottom