hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,250
- 26,640
Mazinge alikuwa anamponda Dr. Sule kwamba ni mchawi,sababu Sule ameamua kuwa wazi anasema anafuga majini na uislamu unaruhusi na yanamsaidia ,Mazinge alimuandama sana MWAMPOSA kwakutapeli watu kuuzia watu mafuta maji na mchanga
Mazinge naye sasa njaa imempiga ameungana na mganga Sharif firdaus wanauza dawa na kuwapaka wamama mafuta ya upako na kupiga hela.
Hoja zimemuhishia, hakika ni aibu kwa Mazinge kufanya mjadala na katoto chini ya miaka 20 huko Mbeya tena wakiwa wamekazunguka wakiwa na Shafii na Bakozi.
Mara nyingi tumewaita kwenye mdahalo ila wameishia kutoroka.
Anyway Sheikh Mwaipopo amejitokeza, kuanzia ijumaa hadi ijumapili saa 8:30 PM tutakuwa na mdahalo wa online tukiwa pamoja na Mwalimu Ndacha na Jeff massawe