Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?

DIKASHWA

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
376
955
Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kuuza magari huko duniani, nimegundua ukiachana na Toyota na Magari ya ulaya bei zake sio rafiki kwetu dunia ya tatu

Nimegundua Mazda wana brand nzuri za Magari very economical and very reasonable price,

Mfano Mazda Cx-5 ya mwaka 2012 bonge la SUV mwonekano mzuri kuliko hata rav 4 au harrrier au kulger hadi unalo mkononi milion 22 kibongobongo nimelifuatilia kwa forum ya users wamelipendekeza fuel economy coz town trip km 12 per lita na lita 7 kwa km 100 high way.

Je, kwanini w hatupendi brand kama hizi ila tunachagua Toyota unakuta gari la miaka 20 iliyopita bei juu.

Wataalamu, Mazda zinashida gani kwa upande wa spears na maintainance.

 
Ile kasumba ya kuaminishwa Toyota ndiyo kila kitu inaanza kupotea ndiyo maana sikuhizi utaona Magari tofauti mengi tu.

TATIZO la brand nyingine tofaut na Toyota ni pale utapoamuwa kuuza utapata usumbufu Sana mpaka uliuze Hilo gari.

Kuna brand ya honda crossroad yameanza kuingia Kwa fujo Tanzania ni bonge moja la gari alafu CC za haya Magari ni ndogo Tu yaani Cc 1790 na 1990
 
Hii hadi inafika bongo sh ngapi?
 
Ya Kibabe
 
Hii crossroad naikubali sana.Watumiaji wake wanaisemeaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…