mazda familia sports 20

mazda familia sports 20

sakafu

Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
14
Reaction score
7
Ninauza mazda familia sports 20.
Bei ni 9.5 milion. Ina cc 1990. Haijawahi kugongwa.
Imetembe only 52,863 kilometres.
 
Asante sakafu; tunaweza kuona picha? Na tunaweza kujua sababu za kuiuza gari hii ambayo unasema ni mpya kabisa?
 
Ni vizuri uweke hapa ndani picha za hilo gari ili tulione hasa sisi tulio mbali na Dar es Salaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom