Kwa Tanzania hii nunua Toyota,Nissan,Suzuki,Subaru....hizi kampuni spea na mafundi wapo japo bei inatofautiana....Toyota is the cheapest one kwa upande wa spea...
Nje ya hapo utateseka sana...
Na ukitaka kwenda nje ya hpo kama una hela, nenda kwa mzungu vw, aud bmw,benz