Mazda Demio 2003 For Sale

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,972
Reaction score
30,152
Wakuu,
Nauza Mazda Demio ya Mwaka 2003,
CC 1300,
Mille-age 106,000
Petrol,
Milango 5,
5 seater,
Ishasajiliwa,
Imetoka Bandarini last week,
Bei 7.8Mil,
Picha nitaziweka soon,
Mwenye kuhitaji, PM please
 
Kaka mbona bei cheap namna hiyo?
Naihitai sana hiyo gari sema tu mshiko sina,
Niachie kwa mkopo basi halafu mwezi wa kumi nkupe 8.5, kuna dili nafukuzia lita-mature kipindi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…