Brown B Senior Member Joined Nov 6, 2023 Posts 139 Reaction score 142 May 5, 2025 #1 MAZDA CX5 Mwaka 2015 Engine 2180cc-Diesel Rangi Black Metallic Mileage 85,000km Bei 40m πWinker Mirrors β+255626682228
MAZDA CX5 Mwaka 2015 Engine 2180cc-Diesel Rangi Black Metallic Mileage 85,000km Bei 40m πWinker Mirrors β+255626682228
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 10,732 Reaction score 22,955 May 6, 2025 #2 Tanzania kwa kufurusha bei. Hizi gari hata sijui imekuwaje zimefika hii bei ya million 40 aisee.
Brown B Senior Member Joined Nov 6, 2023 Posts 139 Reaction score 142 May 6, 2025 Thread starter #3 Zemanda said: Tanzania kwa kufurusha bei. Hizi gari hata sijui imekuwaje zimefika hii bei ya million 40 aisee. Click to expand... Ushuru mkuu
Zemanda said: Tanzania kwa kufurusha bei. Hizi gari hata sijui imekuwaje zimefika hii bei ya million 40 aisee. Click to expand... Ushuru mkuu
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 7,010 Reaction score 10,427 May 6, 2025 #4 Wachina si wauze magari uku bongo
Arizona 1 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,768 Reaction score 3,488 May 6, 2025 #5 Zemanda said: Tanzania kwa kufurusha bei. Hizi gari hata sijui imekuwaje zimefika hii bei ya million 40 aisee. Click to expand... Tena ni mtumba wa 2015!!
Zemanda said: Tanzania kwa kufurusha bei. Hizi gari hata sijui imekuwaje zimefika hii bei ya million 40 aisee. Click to expand... Tena ni mtumba wa 2015!!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 114,667 Reaction score 184,570 May 6, 2025 #6 Arizona 1 said: Tena ni mtumba wa 2015!! Click to expand... ππππ
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 114,667 Reaction score 184,570 May 6, 2025 #7 Si ndo hizi gari, kuna jamaa alileta uzi akilalama inamfilisi? Au ndo amekutuma umfanyie mauzo? ππππππ
Si ndo hizi gari, kuna jamaa alileta uzi akilalama inamfilisi? Au ndo amekutuma umfanyie mauzo? ππππππ
T Twin Tower JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 4,904 Reaction score 7,145 Jul 9, 2025 #8 cocastic said: Si ndo hizi gari, kuna jamaa alileta uzi akilalama inamfilisi? Au ndo amekutuma umfanyie mauzo? ππππππ Click to expand... Ndo yenyewe.. analewa anagongesha huko, taa zinavunjika anaunga na super glue. Hahahahaha
cocastic said: Si ndo hizi gari, kuna jamaa alileta uzi akilalama inamfilisi? Au ndo amekutuma umfanyie mauzo? ππππππ Click to expand... Ndo yenyewe.. analewa anagongesha huko, taa zinavunjika anaunga na super glue. Hahahahaha
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 6,088 Reaction score 4,393 Jul 9, 2025 #9 Mr Pixel3a said: Wachina si wauze magari uku bongo Click to expand... Wachina wanauza magari mapya wabongo hatuwezi kununua. Yetu ni haya ya miaka 20 iliyopita
Mr Pixel3a said: Wachina si wauze magari uku bongo Click to expand... Wachina wanauza magari mapya wabongo hatuwezi kununua. Yetu ni haya ya miaka 20 iliyopita
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 7,010 Reaction score 10,427 Jul 9, 2025 #10 pandagichiza said: Wachina wanauza magari mapya wabongo hatuwezi kununua. Yetu ni haya ya miaka 20 iliyopita Click to expand... Mkuu ndo hayo tunauziwa milioni 20 mpk 30 kisa Kodi wakati china wanayauza mil 7 mpk 10 kwann mwekezaji asiyalete huku akayauza kwa million 12 mpk 15!!
pandagichiza said: Wachina wanauza magari mapya wabongo hatuwezi kununua. Yetu ni haya ya miaka 20 iliyopita Click to expand... Mkuu ndo hayo tunauziwa milioni 20 mpk 30 kisa Kodi wakati china wanayauza mil 7 mpk 10 kwann mwekezaji asiyalete huku akayauza kwa million 12 mpk 15!!
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,056 Reaction score 7,521 Jul 9, 2025 #11 Zemanda said: Tanzania kwa kufurusha bei. Hizi gari hata sijui imekuwaje zimefika hii bei ya million 40 aisee. Click to expand... Madalali kazini.
Zemanda said: Tanzania kwa kufurusha bei. Hizi gari hata sijui imekuwaje zimefika hii bei ya million 40 aisee. Click to expand... Madalali kazini.