Lugombo Nsesi
Senior Member
- Jun 16, 2016
- 126
- 149
Wanaumiza kichwa nani aachwe kwenye uteuzi uliofanywa na Mtukufu kwasababu tuu hakutafuta ushauri wa kisheria.
Dr. Possi ni mlemavu ambaye alipaswa kuwatetea walemavu akiwa ktk ngazi ya utawala hapa nchini.
Inaonyesha Kama nafasi hiyo alipewa kwa KINYONGO ndo maana kosa lisilozingatia Jinsia ktk uwakilishi linamwangukia Dr Possi.
Wajitahidi kutafuta ushauri kabla ya kufanya mamuzi mazito.
Mimi namuona Dr. Possi ni shujaa ktk taifa hili. Ambalo alipata uongozi toka kwa wasiojielewa.
Nampongeza Dr. Possi ata Kama angerudi kijijini kulima, bado yeye ni shujaa anaebeba sofa zote.
KWAHERI Dr. Possi KWAHERI SHUJAA.