DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
sisi Azam hatuwataki, Hanspope alishawaambia msinunue bidhaa za Azam kisa Azam Fc ilisajili SINGANO limafia!MO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
Uliangalia mechi yenyewe? Na ni upuuzi mkubwa kuliko huu ulioona katika video hii?Hili la Saido kufunga goli 5 ili amfikie Mayele na kumpita ni upuuzi mkubwa kuwahi kutokea ktk soka letu la sasa Tanzania.