Hivi utopwinyo mlipocheza na RIVER UTD mapele hakuepo..?Baada kumaliza kuiangalia mechi ya kimataifa Kati ya Orlando pirates vs Simba sports club pale kwa mkapa na mechi kuisha kwa ushindi DHAIFU wa goli moja Tena la PENALTY .....huu nauita ushindi DHAIFU kwa sababu ni goli ambalo sio la kiufundi but ni Kama zawadi ya bila kuitolea jasho ........
Yafuatayo ni Mambo niliyoyaona Jana
1. Simba imekosa washambuliaji wa kuweza kuamua matokeo... type ya MAYELE au au CR 7
2. Simba kwa level iliyofikia iachane wachezaji wazee....kina kagere, mzee Bocco
3.binafsi naona MAYELE angewachezea Simba Ange score goali 3 kwa kikosi kile cha Orlando pirates
Je, mfano MAYELE angechezea SIMBA Jana unadhani angefunga goli ngapi?
Note: ushindi wa penalty ....sio ushindi wa kiume
View attachment 2191731
Alifika hakucheza subiri utaonaAkiwa na utopoloni mechi za kimataifa alishafunga goli ngp?
Simba ni team work.
Sio timu ya mchezaji mmoja.
Umesahau hiliKwanza mlisema simba atafungwa,
Sasa hivi mnasema kimoja hakitoshi hii nchi hii [emoji119]
Anashindiliwa pirates ,kichefuchefu anapata utopolo....
Maajabu hayaishi
Kapoooombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....
Show me the waaaaaaaayyyyyy
Anawainua wanasimba uwanjaniiiiiiiiiii
Anawainua mashabiki elfu sitini hapa lupaso
Nani kasema simba haendi nusuuuuuuuu?
Uwanja unazizimaaaaaaaaaaaaa.......
Utaratibu ni ule uleeeeeeeeeee....
Utaratibu ni ule uleeeeeeeeeeeeeee......
Heshma ya Taifa la Tanzania ipo mabegani kwa wana Lunyasi........
Ukinuna uwe na sababuuuuuuuuuu
Simba inaibeba Nchi na wananchi wakeeeeeeee
Aghaaaaa aghaaaaa aghaaaaaaa
Hii ndio siri ya amaniiiiiiii na furahaaaaaaa
Simba sports clubbbbbbbbb
Simba sports clubbbbbbbbbbbb.............
Nani anatesekaaaaaaaaaaaaaaaa.......
This isssssssssssss SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA........
Pole wewe unayepata sononeko la moyo
Njoo simba raha zipo hukuuuuuuuuuu
Mtangazaji wa jana aliua sana
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Acha kuongelea historia mkuu......tuletee CURRENT DATAHuyo bocco &kagere na huo uzee wao lkn hiyo takataka yenu ya mapele haiwezi kufikia mambo waliyofanya hawa jamaa. Kagere misimu 4 nyuma kapiga goli ngapi ligi kuu bara uje ufananishe na mayele huyo ambae ni jogooo la shamba
Current data wapo CAF confederation Cup vp.mayele yupo CUF ya lipumba🤣🤣🤣Acha kuongelea historia mkuu......tuletee CURRENT DATA
Sawa kutokuwa sehemu ya mchezo huo ni.ujinga wenu wakupenda vya bure na pia mbona simba chama yupo nje ya mashindano ila kinawaka🤣🤣🤣 mayele jogoo la shamba haliwiki mjnKumbe hata mpira hufuatiliii
Mayele hakuwa sehemu ya kikosi kucheza CAF
Je , mlipocheza na Zanaco na somalia hakuwepo?Alifika hakucheza subiri utaona
hii kaitengeneza Manara mwenyewe?,dah!,anakera huyu[emoji28][emoji23][emoji2]
Ahaa wabunge wa CCM? Sasa mbunge wa CCM anahoja ganiMkuu..... MAYELE aheshimiwe TAFADHARI......ukiona Hadi wabunge wanamzungumizia .....usichukulie poa
Mkuu.....ko chama unamfananisha na Mayele kweli......Sawa kutokuwa sehemu ya mchezo huo ni.ujinga wenu wakupenda vya bure na pia mbona simba chama yupo nje ya mashindano ila kinawaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mayele jogoo la shamba haliwiki mjn
Hao watu waheshimu kwanza unapaswa kujua Kagere na boko walikuwa na wastani wa kufunga magoli mangapi kwa msimu wakiwa kwenye ubora wao.Aaaah cjajua mkuu.....but Mayele sio mzee Kama kagere na mzee Bocco
Mkuu tutauvuka mto tukiufikia sawa, mwakani mayele atakuwepo humo panapo majaaliwaBaada kumaliza kuiangalia mechi ya kimataifa Kati ya Orlando pirates vs Simba sports club pale kwa mkapa na mechi kuisha kwa ushindi DHAIFU wa goli moja Tena la PENALTY .....huu nauita ushindi DHAIFU kwa sababu ni goli ambalo sio la kiufundi but ni Kama zawadi ya bila kuitolea jasho ........
Yafuatayo ni Mambo niliyoyaona Jana
1. Simba imekosa washambuliaji wa kuweza kuamua matokeo... type ya MAYELE au au CR 7
2. Simba kwa level iliyofikia iachane wachezaji wazee....kina kagere, mzee Bocco
3.binafsi naona MAYELE angewachezea Simba Ange score goali 3 kwa kikosi kile cha Orlando pirates
Je, mfano MAYELE angechezea SIMBA Jana unadhani angefunga goli ngapi?
Note: ushindi wa penalty ....sio ushindi wa kiume
View attachment 2191731
Mkuu tunawaheshimu Sana .....but inawezekana waliweza kutrend Sana kutokana na ushindan kuwa duni Sana compared to now .....timu znacheza kiushindan mno .......kumbuka mbeya city, kageraHao watu waheshimu kwanza unapaswa kujua Kagere na boko walikuwa na wastani wa kufunga magoli mangapi kwa msimu wakiwa kwenye ubora wao.
Je huyu mfuga nywele wenu anawafikia hao watu wakiwa kwenye ubora wao?
Na zaidi wamejitahidi sana kudumu kwenye kiwango chao kwa muda mrefu huyu wenu bado mapema.
Kagere msimu wa kwanza tu alifunga goal 20+ kama kumbu kumbu zangu ziko sawa.