Asamehewe bure kijana!ukishashiba ugali kwa shemeji yako,unakuja kuisema Simba
Mayele huyu ambaye hata mechi ya wahanga wa vita vya somalia alishindwa kuwafunga?Baada kumaliza kuiangalia mechi ya kimataifa Kati ya Orlando pirates vs Simba sports club pale kwa mkapa na mechi kuisha kwa ushindi DHAIFU wa goli moja Tena la PENALTY .....huu nauita ushindi DHAIFU kwa sababu ni goli ambalo sio la kiufundi but ni Kama zawadi ya bila kuitolea jasho ........
Yafuatayo ni Mambo niliyoyaona Jana
1. Simba imekosa washambuliaji wa kuweza kuamua matokeo... type ya MAYELE au au CR 7
2. Simba kwa level iliyofikia iachane wachezaji wazee....kina kagere, mzee Bocco
3.binafsi naona MAYELE angewachezea Simba ......Ange score goali 3.......kwa kikosi kile cha Orlando pirates
Je!! mfano MAYELE angechezea SIMBA Jana ......unadhani angefunga goli ngapi?
Note: ushindi wa penalty ....sio ushindi wa kiume
View attachment 2191731
Mayele kazoea mech ngumu za kiume...Mayele huyu ambaye hata mechi ya wahanga wa vita vya somalia alishindwa kuwafunga?
Hii ni vita ya wakubwa . Hayatumiki magobole kwenye hiyo vita .
Acha mayele aendelee kutetema kwa Mbeya kwanza na ihefu . Huku nikwawakubwa huo mziki hauwezi.
Ateteme mara ngapi nakati NBC PL alishawatafuna goli maridadi kabisa katikati ya mabeki watatu na goli kipa kisha Yanga ilijinyakulia pointi 3 [emoji848][emoji16]Alishindwa kutetema kwa Geita ndio iwe kwa orlando?
Wabunge wa CCM wana tofauti gani na kenge? Kusifiwa na kenge kumbe siku hizi ni deal?Mkuu..... MAYELE aheshimiwe TAFADHARI......ukiona Hadi wabunge wanamzungumizia .....usichukulie poa