Na sisi tukamate vile vitoto vya watalii tufuge, unajua kuna watu huku hawajawahi kuona wazungu kama vile wazungu amabavyo waengine hawajaona ngozi nyeusiWazungu wabaya sana unakuta wengine now days wanajipendekeza kwa watu weupe wanaukana uafrica
Ubaya wa mzungu upo nyuma ya mwafrika mwenzako alijaa tamaa na kutunga sheria mbovu!Wazungu wabaya sana unakuta wengine now days wanajipendekeza kwa watu weupe wanaukana uafrica
hahahhah umenichekesha mkuu mababu zetu ndio walitendewa hivyo tunapaswa kusamehe ila twatakiwa tusijipendekeze kwaoNa sisi tukamate vile vitoto vya watalii tufuge, unajua kuna watu huku hawajawahi kuona wazungu kama vile wazungu amabavyo waengine hawajaona ngozi nyeusi
Sent using Jamii Forums mobile app
nmeongelewa kuhusu picha hiyoUbaya wa mzungu upo nyuma ya mwafrika mwenzako alijaa tamaa na kutunga sheria mbovu!
Acha kujitoa hufahamu,nmeongelewa kuhusu picha hiyo
Ila kweli sisi waafrika tuna matatizo sana
Siungi mkono mambo kama haya lakini kama mawazo yako yangetimia, wazungu na waafrika kwa asilimia kubwa wangepinga lakini kwa mwafrika kuna baadhi ya waafrika ndio wangewauza wenzao kwenye hayo ma zoo!!Na sisi tukamate vile vitoto vya watalii tufuge, unajua kuna watu huku hawajawahi kuona wazungu kama vile wazungu amabavyo waengine hawajaona ngozi nyeusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifuatilia ili swala la Barrick/Acacia, Boeing na jinsi Watanzania tunavyoshabikia na kuwatetea hawa mafisadi ni kweli hakuna ubishi waposema sema kila siku waafrika tuna LOW IQ na pia ninaanza kuwaelewa labda tunatakiwa tuwe porini na wanyama wengine!!
Kwa siasa za tz huyo mtoto anawakilisha taifa la Tanzania na wanaomlisha ndizi ni mabepari/makaburu/wanyonyaji. Aliyemfikisha huyo mtoto huko ni yuleyule Mtundu Anti KisuKwa siasa za leo hapa Tanzania unafikiri huyo mtoto anamuwakilisha nani na hao wanaomlisha ndizi wanamuwakilisha nani?
So sad and soHii picha imenisikitisha sana, Wazungu hawana maana kabisa...