Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Habari wakuu,
Kuna watu wamekuwa wakimkijeli ndugu na mwanajf mwenzetu bwana Pascal Mayalla hasa kwa mabandiko yake humu jf ambayo yamekuwa na mwelekeo chanya kwa serikali inayoongozwa na chama changu.
Wengi wanambeza, eti Siku hizi amekuwa kigeugeu hawamuelewi kwani mada zake zimekaa kuisifia serikali hata kwa mambo ambayo yanaonekana kutokwenda sawa.
Pia hivi karibuni aliungana na wanaharkati wengine kumtetea rc mmoja aliyekuwa akiandamwa na tuhuma mbalimbali
Nataka niwaambie kuwa Mayalla siyo mjinga, ana akili timamu tena kuliko nyie mnaomkejeli. Ukweli ni kuwa kama umeshamsoma mwenyekiti wangu anataka nini, basi wewe fanyahata kinafiki harafu baada ya muda kidogo utafaidi na utayakumbuka maneno yangu.
Wapo waliofanya kama Mayalla (njaa kwa kisukuma) na matunda wameyaona. Bila shaka mnafawahamu wengi waliokula bonas kwenye teuzi mbalimbali
Ndugu yangu Mayalaa nakutia moyo uendelee na kazi yako mwisho utapenda.
Karibuni Lumumba, home of grace