Ndiyo wapi huko mkuu?Kwa Mkwere
Possibly! Wale jamaa style ya maisha yao lazima wakutane na kina Kware!labda kwa kina Dudukwe..
unapatikana wapi? kama ni Dar aisee uende huko msongola na msewe kwa kina mura..Possibly! Wale jamaa style ya maisha yao lazima wakutane na kina Kware!
Nipo dsm! Nimekusoma vizuri sana! Ahsante sanaunapatikana wapi? kama ni Dar aisee uende huko msongola na msewe kwa kina mura..
Ukisoma kwa kukariri ni kweli elimu yako haiwezi kuwa na thamani kamwe! Lakini ukisoma ukaelewa unachosoma, nakuhakikishia elimu yako haitakutupa!Focus mdogo wetu,
Elimu ya Leo haina thamani,
Ni tangawizi kwenye chai