Mayai ya kuku wa kisasa

Mayai ya kuku wa kisasa

Mwembeni

Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
51
Reaction score
16
Heshima kwenu, Nauza mayai ya kuku wa kisasa tray moja Tshs elfu sita kwa bei ya jumla na Reja reja Tshs elfu 7 kwa tray, Kwa anaehitaji ni PM namba yako tuwasiliane, Angalizo makazi yangu ni Dar es salaam
 
Mheshimiwa nahisi kama utakuwa umepotea jukwaa. Lipo jukwaa maalumu la biashara na matangazo.
 
Watu hatumii ayo siku hizi mpango mzima ni mayai ya kwere
 
Heshima kwenu, Nauza mayai ya kuku wa kisasa tray moja Tshs elfu sita kwa bei ya jumla na Reja reja Tshs elfu 7 kwa tray, Kwa anaehitaji ni PM namba yako tuwasiliane, Angalizo makazi yangu ni Dar es salaam

Hayo bado yanaliwa?
 
Mkuu Jembe hayo mayai ya kwere yanapatikana wap kwa hapa Dar

Jitahidi uyapate ya kware waliolishwa na kutunzwa kiasili na sio wale wanaopewa vyakula vya kemikali kama kuku wa kisasa
 
Wadau tz tunahangaika sana ule ya kisasa ule ya kienyeji haidhuru wewe kula pia gonga zoezi sana hamna sumu inayobaki mwilini
 
Heshima kwenu, Nauza mayai ya kuku wa kisasa tray moja Tshs elfu sita kwa bei ya jumla na Reja reja Tshs elfu 7 kwa tray, Kwa anaehitaji ni PM namba yako tuwasiliane, Angalizo makazi yangu ni Dar es salaam
Me naitaji kwa jumla bado unayo
 
Christa Abdul mayai yapo nauza Tshs 8000/= kwa tray moja.Kama unahitaji tuwasiliane
 
Back
Top Bottom