Mayai ya Kuchoma

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093





Mayai ya kuchoma, Naija


​
<form rel="async" class="live_329311317144202_131325686911214 commentable_item autoexpand_mode" method="post" action="http://www.facebook.com/ajax/ufi/modify.php" data-live="{&quot;seq&quot;:690859}" id="u4prin_183" style="margin: 0px; padding: 0px; font-size: 11px; text-align: left; ">
</form>
 
teh teh...hii kali,sijui yatakuwa na ladha gani...?:madgrin:
 
Nini tabu,Mbona tunakula sana sio mpya njoo Kinyerezi
 
Yamenikumbusha mbali sana nilipokuwa mdogo nachunga ng!ombe. Ilikuwa kawaida sana kuchoma mayai. Ni wapi hapa nipatembelee siku moja, Nimesikia raha sana
 
Wanayachemsha kwanza, Hapo yanawekwa kwenye moto ili yasipoe.
 
Thanks, sijawahi kuona hili!
 
tumeyala sana enzi zile tunakaa vijijini, kuku kibao, kuyakaanga utashikwa, kuyachemsha noma, solution ilikuwa kuyaweka kwenye majivu yenye moto mkali, dakika mbili nyingi unasikia pufu, fasta unatoa unaanza kutengeneza afya.
 
Mkuu hata mimi nimefanya hii kitu, ila sijui kama ni matamu kwa kuku wa kidhungu! Yai la kienyeji ukichoma kiini kinakuwa na unga unga...utalipenda sana!!!!
Yamenikumbusha mbali sana nilipokuwa mdogo nachunga ng!ombe. Ilikuwa kawaida sana kuchoma mayai. Ni wapi hapa nipatembelee siku moja, Nimesikia raha sana
 
Kwa mtindo huo hakuna lishe....! Yai lina muda wake wa kutarishwa beyond that tunashibisha katumbo hakuna lishe
Wanayachemsha kwanza, Hapo yanawekwa kwenye moto ili yasipoe.
 
Na hicho kifurushi cha migomba ni nini
 
hii safi nimeipenda sanaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…