Mayai ya kienyeji tray 11,000

Nataka mtaalamu wa mifugo atueleze tofauti ya mayai ya chotara na kienyeji ikiwa watafugwa Banda moja na kula vyakula sawa sawa ...

Kuna utafauti wa virutubisho gani ndani ya hayo mayai?
 
Kiufupi Dar es salaam hakuna yai la kienyeji kabisa.. hao wa kuku wa kuroiler tena bora wa kuku wa kisasa................ yai linaoza kama usipoliweka kwenye fridge week moja umeona wapi ladha yake haina tofauti na la kisasa..................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…