Karibuni sana wana JF, KIZURI SHARE NA WENZIO!!!!Nimerudi tena wana JF kwenye jukwaa letu pendwa, baada ya kupost uzi wangu Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya nilipata watu wengi sana ambao mpaka leo wanatumia mayai fresh ya kienyeji kutoka shambani kwangu.
Habari njema ni kwamba, mayai ya kienyeji ( fresh) bado yanapatikana kwa watu wote wenye kujali afya zao.
Kumbuka,
- 1 Tray (Mayai 30) - Tshs 15,000/=
- Nusu Tray (Mayai 15) - Tshs 8,000/=
[HASHTAG]#mtaji[/HASHTAG] wa kwanza ni kuwa na afya bora
- Mayai ni fresh yaliyotagwa ndani ya masaa 48 (siku 2),
- Unaletewa popote ulipo ndani ya DSM na kwa idadi yoyote ile utakayo order,
- Shamba lipo Bunju B - Mabwepande, Km 4.5 kutoka Bagamoyo road,
- MAWASILIANO +255 756 087 894.
KARIBUNI SANA...!
Duh! mkuu ulikuwa unasubiri msg yangu nini maana umenijibu faster kama speed ya lightππKaribu sana mkuu na heri ya jumapili!
mayai yapo ni wewe tu uniambie unataka kiasi gani na unapatikana wapi nikuletee leo leo
Amen mkuu! na wewe uwe na jumapili jema yenye baraka tele.I wish you all the best.
Na ubarikiwe wewe Na kazi za mikono yako. Ubarikiwe uzao wa mifugo yako.
Mungu akakupatie kipato cha kukutosheleza kutokana na ufugaji unaofanya.
Ukapate wateja kwa wingi kutoka pande zote za Dunia.
Naikemea Kila roho ya uharibifu, roho ya hasara, Na chuma ulete.
Naikemea roho ya magonjwa Na kifo kwa mifugo yako Na fedha zako.
Kwa JINA LA YESU, ANAYEISHI NA KUTAWALA akakuimarisha Na kukuinua juu zaidi.
Amen
hah hah hahDuh! mkuu ulikuwa unasubiri msg yangu nini maana umenijibu faster kama speed ya lightππ
Anyway, naomba niletee trays mbili hapa mbezi beach tank bovu
Shukranihah hah hah
next time tumia namba yangu ya simu ndio huwa faster zaidi kuliko hata speed hii ya lightππ
nitakuletea mkuu wala usijari
AmenAmen mkuu! na wewe uwe na jumapili jema yenye baraka tele.
Nimerudi tena wana JF kwenye jukwaa letu pendwa, baada ya kupost uzi wangu Mayai ya kienyeji
(fresh) kwa afya nilipata watu wengi sana ambao mpaka leo wanatumia mayai fresh ya
kienyeji kutoka shambani kwangu.
Habari njema ni kwamba,
mayai ya kienyeji ( fresh) bado yanapatikana kwa watu wote wenye kujali afya zao.
- 1 Tray (Mayai 30) - Tshs 15,000/=
- Nusu Tray (Mayai 15) - Tshs 8,000/=
Kumbuka,
[HASHTAG]#mtaji[/HASHTAG] wa kwanza ni kuwa na afya bora
- Mayai ni fresh yaliyotagwa
- ndani ya masaa 48 (siku 2),
- Unaletewa popote ulipo ndani ya DSM na kwa idadi yoyote ile
- utakayo order,
- Shamba lipo Bunju B - Mabwepande, Km 4.5 kutoka
- Bagamoyo road,
- MAWASILIANO +255 756 087 894.
KARIBUNI SANA...!