Mayai Mayai!!!

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152

Pishi la mayai jamani karibuni tujumuike, dunia ina mambo kwelikweli
 
Ni wapi huko mkuu,na mbona hawa wanaodai haki sawa siwaoni hapo kwenye kukalangiza?
 
Ni wapi huko mkuu,na mbona hawa wanaodai haki sawa siwaoni hapo kwenye kukalangiza?

hapo ni Paris Ufaransa, ni utamaduni wao kwa kipindi fulani huvunja mayai takribani 4500 kutimiza utamaduni wao, na wanaotakiwa kufanya hivyo ni machef wa kiume..
 
Maskini haki za kuku zinadhulumiwa.....yaani kuku anataga ili apate watoto nyie mnayafanyia maonyesho???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…