Hivi ni kwa nini tulikubali kufungulia milango kwa kila aina ya biashara!? Hawa jamaa sasa watatumaliza. Taarifa yako ni muhimu kuwafikia TFDA na TBS kama bado hawajaipata, ili waifanyie kazi. Lakini kubwa zaidi ni sisi watumiaji kuchukua tahadhari kwani hata hizo Mamlaka zenyewe haziaminiki sana.
Sasa mwananchi wa kawaida atatofautishaje haya Mayai?