Maximo na ''watalii'' kutoka Brazili

cj21125

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Posts
3,593
Reaction score
3,551
Ina maana Afrika hakuna wachezaji wazuri mpaka Maximo azoe wambrazili wenzake kuja kuharibu mpira wa Bongo? Ana ukabila
 
Miafrica ndivyo tulivyo.. tunasahau haraka..
 
Na bado mtaletewa wauza karanga na ma beach boys muambiwe ni wacheza mpira Mchezaji wa maana atoke Brazil aje Bongo kufanya nini?
 
Maximo hamna kocha mle, ndio maana kila akifundisha klabu ni lazima afukuzwe. Kocha gani amekosa timu ya kufundisha tangu apigwe chini na Stars?
Ova
 
tatizo sio kocha tatizo simba sio mchezo weka mbali na yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…