P punainen-red JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 1,731 Reaction score 451 Oct 12, 2011 #21 Belo said: Hiyo World Cup ya 2015 labda ya mchezo wa kiduku,Brazili wanaandaa World Cup ya mpira wa mguu (football) mwaka 2014 Click to expand... Haahaahaaaaaa! Yaani hawa jamaa mda wote wanawaza uchaguzi tu. World Cup ya 2015...!!!
Belo said: Hiyo World Cup ya 2015 labda ya mchezo wa kiduku,Brazili wanaandaa World Cup ya mpira wa mguu (football) mwaka 2014 Click to expand... Haahaahaaaaaa! Yaani hawa jamaa mda wote wanawaza uchaguzi tu. World Cup ya 2015...!!!
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,301 Oct 12, 2011 #22 punainen-red said: Haahaahaaaaaa! Yaani hawa jamaa mda wote wanawaza uchaguzi tu. World Cup ya 2015...!!! Click to expand... world cup ya ranga ranga!
punainen-red said: Haahaahaaaaaa! Yaani hawa jamaa mda wote wanawaza uchaguzi tu. World Cup ya 2015...!!! Click to expand... world cup ya ranga ranga!
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,916 Reaction score 7,122 Oct 12, 2011 #23 Belo said: Leodgar Tenga kazi imeshamsinda,alianza vizuri sasa naona kazi imemshinda nafikiri tunahitaji kiongozi mpya TFF Click to expand... ameshachanganya siasa kwenye mpira naye.
Belo said: Leodgar Tenga kazi imeshamsinda,alianza vizuri sasa naona kazi imemshinda nafikiri tunahitaji kiongozi mpya TFF Click to expand... ameshachanganya siasa kwenye mpira naye.
P punainen-red JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 1,731 Reaction score 451 Oct 12, 2011 #24 Jaslaws said: world cup ya ranga ranga! Click to expand... Au anamaanisha siku hizi Bongo inashiriki Copa America!!! Au inaweza kuja tsunami iifyeke Bongo na kuiunganisha na S. America....lol
Jaslaws said: world cup ya ranga ranga! Click to expand... Au anamaanisha siku hizi Bongo inashiriki Copa America!!! Au inaweza kuja tsunami iifyeke Bongo na kuiunganisha na S. America....lol
Mwakalinga Bujo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2008 Posts 2,718 Reaction score 1,443 Oct 12, 2011 #25 Du! kweli magamba wanatapatapa hawana lakufanya
Noti mpya tz JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 974 Reaction score 247 Oct 12, 2011 #26 Michezo imetushinda tuangalie ki2 kingine