Nani kakuambia IPTL ilikuwa local?! Au kwavile 30% ilikuwa inamilikiwa na Ruge ndo unasema local?! Btw, kwani kampuni inasaidia vp uchumi kama sio through ajira na kodi?! Unataka kuniambia MaxMalipo walikuwa hawatoi kwa ajira kwa Watanzania?! Unataka kusema MaxMalipo walikuwa hawalipi kodi?
! Kwamba walikuwa wana-create unnessary cost! Kama cost ipi kwa mfano?!! I doubt ikiwa hata unafahamu utendaji wa kazi wa kampuni kama MaxMalipo vinginevyo wala usiongea hiyo hoja!
Tuchukue TANESCO kwa mfano! TANESCO wanaingia mkataba na MaxMalipo kwa makubaliano kwamba kwa kila Sh. 100 wanayokusanya wao, watabaki na 20 na sh. 80 inaenda TANESCO lakini bei ya umeme inabaki constant! Sasa hizo unnessary cots kwa serikali unazi-create vipi? Au walikuwa wanazi-create kwa sababu kinyume mchake wateja wangeendelea tu kwenda kupanga foleni kwenye ofisi za TANESCO ili hatimae TANESCO wawe wanachukua Sh. 100 yote?! Btw, vipi kuhusu kampuni za simu ambazo kwa bidhaa zingine zilikuwa zinatoa similar services?! Au waliokuwa wanaiibia serikali ni MaxMalipo tu lakini kampuni za simu ni malaika kwenye utendaji wa biashara?!