Max Mondu ni nani? Nitampataje?

Max Mondu ni nani? Nitampataje?

Joined
Jan 19, 2015
Posts
16
Reaction score
3
[h=2]Max mondu ni nani? Nitampataje?[/h]
Salam wana jf.
Nina mpango wa kutangaza nia kupitia jimbo la tarime lkn nilipowadokeza watu wangu wa karibu wakaniambia kuna tetesi kuwa huyo jamaa (max) anatakiwa hapo hasa na vijana toka maeneo ya nyamongo, tarime mjini, nyabasi, bunchali, na sirari. Habari zinaonesha kuwa amekataa wito huo kwa madai kuwa kwa sasa hana chama na siasa sio chaguo lake. Namtafuta aniunge mkono ili hao wafuasi wake wawe upande wangu nimshinde ester matiko kirahisi maana naona anakuja juu balaa!

Nipeni mawasiliano yake plz.
Asanteni wakuu.​
 
Mbunge WA Tarime ni kamanda John Heche,hao wengine ukiwemo wewe mnajisumbua.
 
Huyo ni mwana UKAWA mzuri usimtukane anamanisha sana mzee wa China.
 
Back
Top Bottom