Akili Pesa JF-Expert Member Joined Jun 18, 2014 Posts 617 Reaction score 854 May 31, 2019 #1 Kuna lijamaa limesemaje hapa pub kuwa "Wadada wanaovaa mawigi wateng muda kuwaombea watu wanaokubali kunyoa nywele zao ili wake wapendeze wao huku". Je in halali kutenga muda kwaajili ya hilo?
Kuna lijamaa limesemaje hapa pub kuwa "Wadada wanaovaa mawigi wateng muda kuwaombea watu wanaokubali kunyoa nywele zao ili wake wapendeze wao huku". Je in halali kutenga muda kwaajili ya hilo?
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,401 Reaction score 23,193 May 31, 2019 #2 Hata wewe mwenyewe ukirudia kusoma sidhani kama utaelewa
babe S JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 3,879 Reaction score 20,859 May 31, 2019 #4 Mhh najitahidi kusoma Ila sielewi!
wined JF-Expert Member Joined Nov 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,785 May 31, 2019 #5 Sijui hili katazo la june 1 limewachanganya
manumbu1 JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 715 Reaction score 407 May 31, 2019 #6 Hicho ni kiswahili cha fasihi bila elimu huwezi kuelewa. Hata mimi SIJAELEWA. Kkkkkk kkkkkk wined said: Sijui hili katazo la june 1 limewachanganya Click to expand...
Hicho ni kiswahili cha fasihi bila elimu huwezi kuelewa. Hata mimi SIJAELEWA. Kkkkkk kkkkkk wined said: Sijui hili katazo la june 1 limewachanganya Click to expand...