Swali alilo uliza mtoa mada ni la msingi kwni siyo wote wamesafiri nje ya nchi, hivyo taratibu hawazijui.nivizuri anayefahamu akamfahamisha vizuri bila ya kumfanyia dhihaka, vilevile kuwa na ukimwi sidhani kama kwa sasa ni jambo la kumyooshea kidole mwenzio kwani familia nyingi sana ilo tatizo lipo.