Hii itafaa zaidi.2.kuuza taulo (pads) za kike za kufua bado sijajaribu kuifanya na mtaji wake ni Kama 100000.
Hii itafaa zaidi.
Target ya soko - Shule za bweni za wasichana.
Ni ipi kati ya hizo ulishawah fanya?Naitwa Lisa ni mwanafunzi. Nina mawazo matatu ya biashara.
1. Kuuza huduma ya kusafishia masinki ya chooni yenye uchafu sugu pamoja na tiles.
Hasahasa kwenye bars, gesti, mashuleni na nyumba za kupanga au nyumba za kota.
Changamoto inakuja nashindwa kupata tenda kubwa kwasababu Sina kampuni Kama maofisi makubwa yanafanya kazi na kampuni sio Mtu binafsi.
2.kuuza taulo (pads) za kike za kufua bado sijajaribu kuifanya na mtaji wake ni Kama 100000.
3. Kuuza mafuta ya mnyonyo. Pia mtaji wake ni Kama laki
Naombeni ushauri katika mawazo hayo matatu ni lipi ni bora nikomae nalo.
hii ya kusafisha vyoo nafanya, changamoto Nakosa tenda/soko. Ni chache mno ninazopata. Ukiniconnect itanisaidia SanaNitamsupport kwa hiki akianza nitamconnect na shule nazoweza
Ya kusafisha masinkNi ipi kati ya hizo ulishawah fanya?
Ahsante SanaAnza na Pads halafu mafuta hizi mbili zikiingiza capital kubwa ndio nenda na hio namba moja. Hizi mbili za mwanzo unaanza na mtaji mdogo lakini utakufanya uijue biashara vizuri. Bila kusahau wakati unaanza hizo ndogo jijenge kwa walengwa kwa hii kubwa namba 1. Kila la kheri
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kama unahisi kwa asilimia fulani umefanikiwa nashauri ufocus hapohapo kwasasa, ila kama unahisi hujafanikiwa na huna namna ambayo utafanya kwa mafanikio achana nayo kauze taulo.Ya kusafisha masink
Mimi nimesema nitakuconnect ya kuuza pads shuleni, ya vyoo wanaajirigi cheap labour kufanya usafi mama.hii ya kusafisha vyoo nafanya, changamoto Nakosa tenda/soko. Ni chache mno ninazopata. Ukiniconnect itanisaidia Sana
Okay sawa, Nashukuru 0676868660 namba zangu hizoMimi nimesema nitakuconnect ya kuuza pads shuleni, ya vyoo wanaajirigi cheap labour kufanya usafi mama.
Binti usirudie tena kuweka namba hadharani hivi!Okay sawa, Nashukuru 0676868660 namba zangu hizo
Naomba kujua ubaya wakeBinti usirudie tena kuweka namba hadharani hivi!
OK, haina ubaya endelea kuiweka tu mama! Maana nyie akina mama hamna ubaya na mtu! Kwa ujumla wake huwezi kufuatiliwa na wasiojukana!Naomba kujua ubaya wake
Nimeuliza kupata kujua ubaya wake, ungenijibu tu vizur ningefurahi maana Kweli sijui Ndo maana NimeulizaOK, haina ubaya endelea kuiweka tu mama! Maana nyie akina mama hamna ubaya na mtu! Kwa ujumla wake huwezi kufuatiliwa na wasiojukana!
Ubaya wake mama ukisikia watu wamwdakwa na wasiojulikana ni kutokana na kuweka mawasilianao hadharani kama hivi. Sasa hivi Cutelisa tumekuweka kwenye kumbukumbu zetu, siku ukiweka post ya kutuchoma tu tuna wewe!Nimeuliza kupata kujua ubaya wake, ungenijibu tu vizur ningefurahi maana Kweli sijui Ndo maana Nimeuliza
Sababu ni ipi? Kwani yeye ni muhalifu? Au namba ni kitu cha siri?Binti usirudie tena kuweka namba hadharani hivi!
Sobaye, onyo'anokho!Sababu ni ipi? Kwani yeye ni muhalifu? Au namba ni kitu cha siri?