Hao wanapiga kelele kwasababu hawajapewa hizo nafasi, wakipewa watafanana tu na hao, Hizo ni chuki na bifu kati yao, Magamba wameoza wameshindwa kusimamia serikalini matokeo yake wajanja ndio wanafaidi hii NCHI. Hakuna hata Mmoja mwenye nafuu, wanapigia kelele wizi wakati na wao wanapata mgao, rushwa wakati wao wanatoa na kuchukua, ukweli uko wapi? Ni wasanii watupu. Uchaguzi wa Ubunge wa EAC wamepokea rushwa leo hii wanajifanya eti wanauchungu na INJI HII, Afadhalia Mzee wa Kilalacha yeye alikuwa anapiga kazi akizitamani anakuitwa Moshi ANAVUTA mkwanja . Hawa wanakula mpaka mbegu Wataua kabisa.