Wadau,
Tafadhali naomba kwa yeyote mwenye mawasiliano yanayopatikana ya kiwanda cha mufindi paper mills aweze kunisaidia. Ikiwa ni namba za moja kwa moja kiwandani au za mfanyakazi yeyote wa pale kama vile Marketing Manager au mtu yeyote yule anayeweza kutoa maelezo ya kina kuhusu bidhaa zao.
Namba zinazoonekana katika mitandao mingi hazipo kabisa na nyingine ni za watu hata ambao sio wahusika.
Nawasilisha