Wazabanga kuku JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 264 Reaction score 381 Dec 29, 2016 #1 Jamani hivi ni sahihi kwa wapenzi tena washazaa hadi watoto kukaa kutwa nzima hadi siku 2 bila kuwasiliana!??
Jamani hivi ni sahihi kwa wapenzi tena washazaa hadi watoto kukaa kutwa nzima hadi siku 2 bila kuwasiliana!??
Tozonia JF-Expert Member Joined Jun 18, 2013 Posts 689 Reaction score 735 Dec 29, 2016 #2 Ndio ni sahihi
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,960 Reaction score 183,578 Dec 29, 2016 #3 Inategemea.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Dec 29, 2016 #4 mmezoeana tu ila si sawa
help me my Jesus Senior Member Joined Oct 8, 2016 Posts 102 Reaction score 45 Dec 29, 2016 #5 N sahihi kabsa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,436 Reaction score 872,034 Dec 29, 2016 #6 Wazabanga kuku said: Jamani hivi ni sahihi kwa wapenzi tena washazaa hadi watoto kukaa kutwa nzima hadi siku 2 bila kuwasiliana!?? Click to expand... Inawezekana kabisa
Wazabanga kuku said: Jamani hivi ni sahihi kwa wapenzi tena washazaa hadi watoto kukaa kutwa nzima hadi siku 2 bila kuwasiliana!?? Click to expand... Inawezekana kabisa
chuganian JF-Expert Member Joined Dec 6, 2016 Posts 1,067 Reaction score 1,112 Dec 29, 2016 #7 kama wanaish pamoja inaezekana kwa kiasi flani ila kama hawaish pamoja sio sahihi
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Dec 29, 2016 #8 Mawasiliano ni kwenye mambo ya msingi tu. Yale ya 'leo baby umekula nini' sijui umevaaje hayana nafasi. Tumia huo muda kuwaza jinsi ya kuweka chakula mezani.
Mawasiliano ni kwenye mambo ya msingi tu. Yale ya 'leo baby umekula nini' sijui umevaaje hayana nafasi. Tumia huo muda kuwaza jinsi ya kuweka chakula mezani.