Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Habari wanajamvi....
NEC ina mawakala kadhaa kwenye vituo vya kupigia kura. Watatakiwa kufika vituoni kwao mapema asubuhi. Cha kusikitisha ni kwamba karibu wote, wamepangwa kwenye vituo ambavyo hawajaandikishwa hapo... Je watapiga kura..???
Polisi watakaolind vituo nao watapiga kura..??? Maana nao wamepangwa tofauti na walikojiandikishia...
Kwa idadi ya vituo (zaidi ya elfu 65) ina maana kama kuna wakala mmoja toka kila chama na polisi mmoja, then tutakuwa na watu wasiopungua 130,000 ambao hawatapiga kura na tunalijua....
Kwenye kituo kimoja kutakuwa na zaidi ya wakala mmoja na zaidi ya polisi mmoja... Tutajikuta tuna watu si chini ya laki tano (YAANI SAWA NA WAPIGA KURA WA ZANZIBAR WOTE), hawapigi kura kwa sababu tu ya utaratibu ambao ungeweza kurekebishwa...
Hapo ukijumlisha na wanachuo, nakwambia tuna watu wengi sana hawatapiga kura kwa sababu ya utaratibu mbaya...
TANZANIA ZAIDI YA TUNAVYOIJUWA....